Leo ni Siku ya Babu na Wajukuu......Karibuni!

Hivi nyie watu...umeme huu mnaouchoma hapa kwenye hii thread mngeielekeza kwa mkoloni si tungekuwa tunamkaribia Mchina?? (.hapa natafuta kesi ........valentinosis mbaya!!)
 
Ajira hakuna.......kujiajiri uwezo hatuna....so kihela tupatacho cha kulipia moderm tunakitumia kwa raha zetu,baba na mama walipia luku....
tunatafuta kazi pia....l.o.l
 
Hivi nyie watu...umeme huu mnaouchoma hapa kwenye hii thread mngeielekeza kwa mkoloni si tungekuwa tunamkaribia Mchina?? (.hapa natafuta kesi ........valentinosis mbaya!!)

Na hiyo kesi unayoitafuta, wakili ushampata?
 
Ninaposema Mtiifu ninamaanisha hata kwa mkoloni wangu loh.................(hebu niende kwenye siasa kabla sijang'olewa macho)

Naona unataka kuiharibu valentino yako...........!
 
SLOGAN ya leo Babu najua ni hii hapa chini:

Kunywa bia .....maji yana bakteria!!
 
Naona unataka kuiharibu valentino yako...........!
Hahahahahaha afu we ndo ulikuwa wa kwanza kunitakia valentino njema ......................nlivyo kilaza kidogo nikuulize ni wa darasa la ngapi huyo Happy valentine!! Walimu bana .......................
 
Mjukuu naomba tu nikutakie Valentino njema bana ingawa babu leo kawa mkali kwa wajukuu wake!!
 
Happy valentine's day Biggie....mie nataka nikubusu tu si utaniruhusu?????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…