johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Amina mkuu, ila kwanini kuomba mvua kipindi hiki wakati tunajua kabisa nimsimu wa mvua, kwanini hatuombi mwezi wa 8 ama wa 7 na wa 9.Mungu ni mwema wakati wote.
Yesu akawauliza " ni yupi kwenu mwanae akimwomba samaki atampa nyoka? au akimwomba mkate atampa jiwe basi ikiwa ninyi mlio waovu mwajua kuwapa watoto wenu vilivyo vyema je si zaidi Baba yetu wa mbinguni atawapa ninyi!"
Mungu wa mbinguni awabariki nyote
Nawatakia Dominica ya kwanza ya Majilio yenye Baraka!
Amina bwashee!Anyway ingawa sio kweli mvua inanyesha kila kona ya nchi, dominica njema na kwako.
Amina!Amina mkuu, ila kwanini kuomba mvua kipindi hiki wakati tunajua kabisa nimsimu wa mvua, kwanini hatuombi mwezi wa 8 ama wa 7 na wa 9.
Anyway ingawa sio kweli mvua inanyesha kila kona ya nchi, dominica njema na kwako.
Great ThinkerAmina mkuu, ila kwanini kuomba mvua kipindi hiki wakati tunajua kabisa nimsimu wa mvua, kwanini hatuombi mwezi wa 8 ama wa 7 na wa 9.
Kwenu wapiKwetu kukavu tu
Acheni kutenda dhambi!Kwetu kukavu tu
Tena hapa nimeamka nina moto wa kusuguliwa balaaAcheni kutenda dhambi!
Unataka uje utuletee?Kwenu wapi
Wapi huko?Kwetu kukavu tu
UsanguWapi huko?