ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Kwa kutambua juhudi za walevi kwenye uchumi, 2/8 ni siku ya Bia Duniani.
Natoa salute Kwa walevi wote Kwa juhudi zao za kukuza Uchumi Kupitia unuwaji bia ambapo Kwa Tanzania Mapato kutokana na Pombe hufimia karibu Trilioni 1 huku sekta hiyo ikitoa Ajira Kwa maelfu ya watu.
Ni muda muafaka Sasa kutambua rasmi pombe za kienyeji(mataputapu) ikiwepo gongo Ili nazo zichangie uchumi rasmi.
My Take
Prof: Janabi asione hii.