ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
ππππKwa kutambua juhudi za walevi kwenye uchumi,2/8 ni siku ya Bia Duniani.
Natoa salute Kwa walevi wote Kwa juhudi zao za kukuza Uchumi Kupitia unuwaji bia ambapo Kwa Tanzania Mapato kutokana na Pombe hufimia karibu Trilioni 1 huku sekta hiyo ikitoa Ajira Kwa maelfu ya watu.
Ni muda muafaka Sasa kutambua rasmi pombe za kienyeji(mataputapu) ikiwepo gongo Ili nazo zichangie uchumi rasmi.
View: https://twitter.com/swahilitimes/status/1819281434693034468?t=khDjMY3UfqBBoCruPxKL-Q&s=19
My Take
Prof: Janabi asione hii.
Take it responsiblyhatari kwa afya ya akili
Bia inatusaidia kwa wanawake walevi kuwapasua vizurLeo ni siku ya bia duniani.
Eleza jinsi unavyoipenda bia na unavyoichukia karibuni.
Weeee!!! Bila shaka tunatarajia Bar kadhaa kutoa ofa kwa Wateja wao Waaminifu.Leo ni siku ya bia duniani.
Eleza jinsi unavyoipenda bia na unavyoichukia karibuni.
Nilikuwabusy kidogoSelemani Sele Salam alykum ndgu yangu katika imani..
Leo imekua ijumaa nzuri yenye baraka na fanaka tele..
Vipi umewahi jamaa shekhe wangu...
Sawa mkuu M,mungu akufanyie wepesi katika mambo yako mkuu.....Nilikuwabusy kidogo