Leo ni siku ya kuzaliwa Manengelo; tumtakie heri

The August

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2018
Posts
1,080
Reaction score
2,026
Hello JF!

Leo amezaliwa member mwenzetu, mwanadada Manengelo. Ni uungwana kutakiana heri kwenye nyakati muhimu za maisha yetu wanadamu.

Mimi binafsi, nakufaham kama mtu mwenye heshima sana, mstaarab, usiye na makuu, na zaidi zaidi mpambanaji.

Nakuahidi 'anytime, anything u got my support'...

Una redds zangu kama 20 hivi[emoji28]... Na nimekuandalia kadi ya sisiem[emoji23][emoji23]

Heri ya kuzaliwa Mpambanaji.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…