James Comey
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 8,759
- 14,831
Your name says it all ( joking).Ni nani huyu mangelelo wakuu?
Ni mama yangu!Ni nani huyu mangelelo wakuu?
[emoji23][emoji23]Nimekuelewa. Nisijeongea matusi bure...
Aaanha poa msalimieYour name says it all ( joking).
Ni member mmoja mwanamke kwa mawazo yangu yupo very social and can be a friend of anyone...
Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
Sio kwa kunitenga hivi wallah...Happiest birthday Mrs pampula. Mungu azidi kukupigania; uendelee kuwa na moyo wa kupondeka. Ahsante kwa kunifunza mengina kuniburudisha. Nguganile fijo
JiraniiiiiiiiiiiiSio kwa kunitenga hivi wallah...
Usinifanyie hivyo jirani....Jiraniiiiiiiiiiii
Do the needful tukutane baadayeUsinifanyie hivyo jirani....
Thank you for representing me 100 Likes (King).
Happy birthday sis manengelo.
Be best always.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]Duh! Nimeona wivu...!
Hapa na mimi nifanye mchakato sasa.
Habari gani za kukatishana tamaa hz [emoji378]Happiest birthday Mrs pampula. Mungu azidi kukupigania; uendelee kuwa na moyo wa kupondeka. Ahsante kwa kunifunza mengina kuniburudisha. Nguganile fijo