Leo ni siku ya kuzaliwa ya Hamis Kigwangalla, namtakia afya njema

Pona haraka comred allah akuafu ili urudi kwenye mapambano.nakutakia siku njema ya kuzaliwa.
 
Hadi wanyama wanakuombea kwa jinsi ulivyotokomeza majangili.
 
Unamtakia afya njema au unamuombea kwa Mungu aendelee kuwa na afya njema, ma ccm bana sijui yakoje
 
Unamtakia afya njema au una muombea kwa Mungu aendelee kuwa na afya njema, ma ccm bana sijui yakoje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…