Leo ni siku ya maadhimisho ya ukimwi duniani.

CHIPANJE

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2011
Posts
321
Reaction score
53
Ndugu zangu,siku hiyo imepangwa maalamu kukumbushana namna inavyotupasa kukabiliana na janga hilo.
Tanzania bila ukimwi inawezekana!
 
Nendeni mkapime mjue hali za afya yenu. Ili mjikinge na muwakinge wale mwapendao.
 
UTEPE MWEKUNDU MPAKA KWENYE NGUO ZA NDANI "MIMI NAJALI WEWE JE?". Tuchunge Afya zetu ndugu!
 
Pima jua status yako,jilinde na toa elimu kwa mwingine.
 
mmh, mnadhani mtaishi miaka 100?
Sukari ya chai yenyewe hamna, bora nkajipotee mawazo ya njaa yangu kwa makamuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…