Leo ni Siku ya Mashujaa hapa Kenya; Ruto atia fora

Leo ni Siku ya Mashujaa hapa Kenya; Ruto atia fora

Linguistic

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2021
Posts
3,669
Reaction score
8,268
The Hustlers Ruto ameingia uwanjani Uwanja umelipuka kwa shangwe hapa!

Lakin Wakat Raila Odinga anaingia Watu Hawakushangilia.

Hata Uhuru hajashangiliwa kama alivyoshangiliwa Ruto,

Imembidi MC ahamasishe wahudhuriaji kumshangilia

Hii Tunadhani Ni Dalili Nzuri Kwa Sugoi Boy Kuwa The 5th President Wa Kenya?
 
Ruto anaheshimishwa na wananchi wa Kirinyaga!

Raila hapati kura Mt. Kenya
 
Moja ya nchi ninazofuatilia sana siasa zake duniani ni united states na kenya .Napenda sana siasa ya kenya asee ,home washangaa sana why naangalia sana kenyan media but i love that.
EF98ECC3-8E2B-47A0-A619-53DD7D97846B.png
Tupo live though
 
System haim’back’ yeye,inasupport mr kitendawili
Uhuru amewaambia Viongozi Wakikuyu watakutana mahali in a closed doors wazungumze bila Camera wala Simu!

Huenda hizi njama chafu zikamuongezea asilimia chache ya kura Raila in Mt. Kenya

Ingawa bado Ruto ataongoza kwa kura Mt. Kenya na atashinda Uchaguzi mkuu na kuwa Rais wa Kenya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom