Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 620
- 1,240
Wakati Dunia inaposonga kati ya Jua na Mwezi, basi Leo tutaweza kushuhudia Tukio la Kushangaza La Mwezi kubadilika na kuwa Rangi Nyekundu (kivuli kikubwa cha rangi Nyekundu).
Siku ya Leo Usiku ndo ile siku tunaweza sema ni "The Night sky is delivery rare spectacle" tunaweza sema Anga ya Usiku ni tamasha adimu ndugu msomaji...
Ni mwezi kupatwa na kuwa na Rangi Nyekundu Tukio ili litatokea machi 14 - 15, 2025 Mwezi utaweza kubadilika na kuwa mwekundu kama Shaba. Kupatwa huku kutashuhudiwa Duniani.
Tunaita a lunar eclipse (kupatwa kwa Mwezi) hutokea pale Dunia inapojiweka yenyewe kati kati ya Jua na Mwezi kuzuia mwanga wa jua na kuweka kivuli juu ya uso wa mwezi.
Mtindo huu utokea kwa Namna Tatu;
💨 Kupatwa kamili kwa mwezi:
Mwezi unakua kabisa kwenye kivuli cha Dunia na unakuwa na rangi nyekundu.
💨 Kupatwa kwa mwezi kwa kiasi (partial lunar eclipse) Hutokea wakati kivuli cha Dunia kinafunika sehemu ya mwezi mzima. Kivuli kinapanuka na kisha kurudi nyuma, lakini hakifikii awamu ya jumla.
💨 Kupatwa kwa mwezi kwa Penumbral – ni Tukio hafifu ambapo mwezi hupita kwenye kivuli cha nje cha Dunia, kinachojulikana kama penumbra. Mwezi unaonekana hafifu kuliko kawaida.
Inakuwaje unabadilika Mwezi 🌓 kuwa Mwekundu!!!
Wakati wa kupatwa kamili kwa mwezi, mwezi hubadilika kuwa nyekundu au machungwa. Mwangaza wa jua pekee unaofika mwezini lazima kwanza upite kwenye angahewa ya Dunia kisha mwezi ndo unabadilika sasa.
Tukio ili litaweza kuonekana live ulimwenguni kote au sio ulimwenguni Kote lakini Nchi za magharibi zitaweza kushuhudia Tukio ili, Kaskazini na kusini mwa nchi za afrika na ulaya kwa ujumla (Asia, Afrika na European).