GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Haaaaaa kigogo yamemkuta au mission accomplish
Ando maana wamesama tuwe na akiba ya maneno si kila unachokijua unayoisema kukaa kimya kuna manufaa zaidi kuliko kuongea sana
Pengine anawavutia kasi au wazee wakujimwambafai washamdaka!
Mm nimechapwa kidato cha nne nimeshamaliza mtihani, clearance nijaza amebaki headmaster tu atie sahihi kuna kosa nilienda kama miezi 6 iliyopita akaniambia nakuchapa ili maishani ukumbuke kila unapotaka kufanya jambo uangalie madhara yake mbbeleni nilipigwa fimbo 6 mbele ya wanafunzi wote. nikikataa hata saini hapo nimeshachukua sanduku na godoro...... long story ila nilikubali yaishe hadi leo natumia hiyo philosophy. ......
Mbona hakuna breaking news [emoji846]
Kuna mdau alinambia Kigogo ni mtandao sio mtu mmoja tusubiri na tune Ila wazee wakujimwambafy hawashindwi kitu. kwangu twitter itapoteza mvuto kidogo mama mila muds ilikufa kuchungulia kuna habari gain.Naanza kupatwa na wasiwasi sana Mkuu kwani siyo kawaida yake kabisa kupotea hivyo kule ' Twitani ' ambako amezoeleka.
Alitegwa akategeka: tangu aliponyweshwa mkojo wa. BOT na uteuzi wa Afisa tarafa ndipo alipojipeleka kwa wenyewe; amepumzishwa anapostahiliNimemtafuta tokea Jana hadi hivi leo sijamuona je, kuna mwana ' Twitani ' Mwenzangu labda amebahatika Kumuona ama akitoa Taarifa zake Nyeti au hata akichangia tu Kimikogo kama kawaida yake?
Nawasilisha.
Amebadili ID; sasa anatumia ID ya (Koncho77). Mtazame hapo kwenye post#6Pengine anawavutia kasi au wazee wakujimwambafai washamdaka!