Habari mpasuko ziko kwa Kagame tu, kwingine hakunagaWale Jamaa ' wakikudaka ' huwa hakuna Habari Mpasuko Mkuu.
Labda ndio Jasiri mwonyesha njia wa juzikati!Nimemtafuta tokea Jana hadi hivi leo sijamuona je, kuna mwana ' Twitani ' Mwenzangu labda amebahatika Kumuona ama akitoa Taarifa zake Nyeti au hata akichangia tu Kimikogo kama kawaida yake?
Nawasilisha.
So wwe uko huku!?Ngoja niingie twitter nihakikishe
Dah umeongea Ukweli kabisa na atakaetaka kulielewa somo na alielewe!!Ushauri wangu tu ni kwamba tuwe Makini na ' tusijimwambafai ' sana huku ' tukivimbishwa ' Kichwa na Watu ambao Siku yakikukuta hakuna hata Mmoja atakuja Kukusaidia huko utakapokuwa sana sana ndiyo hao hao watakusahau upesi na hata kuanza Kukucheka. Mfano hai wa huu ninao ambapo nakumbuka Siku ' Freelance Journalist ' Mtani wangu wa Kihaya Erick Kabendera alipokamatwa humu Mitandaoni kulijaa kila aina ya maneno ya Kumtia Jeuri na Yeye nae akawa anajaa tu Upepo lakini Siku tano ( 5 ) baadae Erick alijikuta yupo peke yake katika Mapambano hadi hivi sasa Yule Yule aliyekuwa Mjeuri mwanzoni kwa ' Kujazwa Upepo ' wa Watanzania wa Mitandaoni ambao wamejawa na ' Unafiki ' mwingil leo anahangaika na Wakili wake kutaka Kuomba Radhi kwa DPP na Kukubali Makosa yake ambayo Siku ya mwanzo aliyakataa kabisa tena huku akiwa na Mikogo yake ya Kihaya.
Haya matukio yatusaidie Kujifunza na tubadilike pia.
Huyu mtu alikuwa anatoa taarifa za kweli na zisizo za kweli na alichangamsha jukwaa, ila siku hizi naona asikiki Tena kupitia tweeter. Hayupo na updates zake Tena, nikajiuliza amechukua likizo au ameenda Kijiji kwao kujiandikisha kupiga kura?
Mwenye kumwelewa alipo huyu mwananchi atueleze maana hapa mwishoni alianza kukubaliana kimantiki na yanayofanywa na serikali sikivu ya awmu ya Tano na alikuwa mchango mkubwa kwetu kuelekea uchaguzi mkuu 2020. Au anatafuta akaunti mpya aje kivingine?
Kigogo njoo uendeleze mapambano uliyoanzisha.
Chezea wengine siyo Magu!Huyu mtu alikuwa anatoa taarifa za kweli na zisizo za kweli na alichangamsha jukwaa, ila siku hizi naona asikiki Tena kupitia tweeter. Hayupo na updates zake Tena, nikajiuliza amechukua likizo au ameenda Kijiji kwao kujiandikisha kupiga kura?
Mwenye kumwelewa alipo huyu mwananchi atueleze maana hapa mwishoni alianza kukubaliana kimantiki na yanayofanywa na serikali sikivu ya awmu ya Tano na alikuwa mchango mkubwa kwetu kuelekea uchaguzi mkuu 2020. Au anatafuta akaunti mpya aje kivingine?
Kigogo njoo uendeleze mapambano uliyoanzisha.
Kumbe mfalme akiharibu hatakiwi kuguswa......washenz wakubwa nyiealibugi sana kuanza kumsakama mbowe,sijui hakujua kuwa wafuasi wake wengi ni upinzani,watu wakaanza kumpotezea,itakuwa huyu mtu alikuwa infiltrator,,mission failed
alikuwa mpuuzi tualibugi sana kuanza kumsakama mbowe,sijui hakujua kuwa wafuasi wake wengi ni upinzani,watu wakaanza kumpotezea,itakuwa huyu mtu alikuwa infiltrator,,mission failed
mimi ccm wewe,hivi kwa akili yako unadhani chadema inaendeshwa kwa ruzuku pekee?Kumbe mfalme akiharibu hatakiwi kuguswa......washenz wakubwa nyie
Ndo yale yale ya daa mange hide my ID alivyokuja kuwashika penyewe mnaanza kukanyagana minyumbu buuuana!!!
Tueleze wewe!?mimi ccm wewe,hivi kwa akili yako unadhani chadema inaendeshwa kwa ruzuku pekee?