Punchline ya kwanza kabisa duniani ilirekodiwa tarehe na mwezi kama wa leo miaka 98 iliyopita na rapa kutoka Nyanzaland ambayo kwa sasa inajulikana kama Mwanza. Ilikuwa inaenda hivi
"Oko kaya nale mi na Ruth/
Ababyaji pye bale Urusi/
Gayo!!! mashikolo mageni/.
,hivyo trh 23/11 kila mwaka huwa ni siku ya punchline kali duniani.
Dondosha punchline kali unayoikubali zaidi kutoka kwa rapa unayemkubali zaidi.