Zero IQ
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 13,959
- 24,935
Namshukuru Mungu siku hii ya leo kwa kunifikisha miaka kadhaa Tangu kuzaliwa kwangu.
Naamini kwa Neema zake atanifanya niiishi miaka mingi Mpaka kuiona ile nchi ya Ahadi aliyowahaidi wana wa israeli na dunia kwa Ujumla.
Kuna wengi walitamani kuongeza miaka yao lakini hawakuweza kufikia matumaini yao ,
Kuna wengine sasa hivi wanagombea Uhai wao hospitary,Vitani,barabarani na ata mahala pengine ili waweze japo kufikisha siku Nyingine lakini Muumba ameniona mimi na kunibariki Uhai na furaha yangu siku hii ya Leo.
Asante sana baba,Asante pia mama yangu kipenzi kwa zawadi hii ya kunileta Duniani,Bila kusahau Ndugu na Jamaa zangu ,Najua ni magumu mengi mlipitia mpaka kunifanya leo hii Nami nionekane mtu katika Watu. .
Sina cha kuwalipa zaidi ya kuwaombea.
Asanteni pia ndugu na Jamaa zangu wa Jamii forum nyie pia mna mchango sana katika maisha yangu Nimejifunza mengi kupia Forum hii kuna wakati Nilikuwa napitia magumu lakini kila nilipoingia humu Jf nilikuwa napata Faraja Nainuka na Kumove on.
Kuna wachache niliwakwaza either kwa lugha yangu,or Mada zangu kwa ujumla naomba Tusamehane na tugange yajayo mi ni binadamu A'm not a perfect for 100%
Nashukuru sana na Nasema Asanteni kwa ushirikiano wenu.
Happybirthday to me, Happybirthday Zero iq(Nick Name ).
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji115] [emoji115] [emoji115] .