Leo ni siku yangu ya kuzaliwa (it's my birthday)

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,959
Reaction score
24,935
Namshukuru Mungu siku hii ya leo kwa kunifikisha miaka kadhaa Tangu kuzaliwa kwangu.

Naamini kwa Neema zake atanifanya niiishi miaka mingi Mpaka kuiona ile nchi ya Ahadi aliyowahaidi wana wa israeli na dunia kwa Ujumla.

Kuna wengi walitamani kuongeza miaka yao lakini hawakuweza kufikia matumaini yao ,
Kuna wengine sasa hivi wanagombea Uhai wao hospitary,Vitani,barabarani na ata mahala pengine ili waweze japo kufikisha siku Nyingine lakini Muumba ameniona mimi na kunibariki Uhai na furaha yangu siku hii ya Leo.


Asante sana baba,Asante pia mama yangu kipenzi kwa zawadi hii ya kunileta Duniani,Bila kusahau Ndugu na Jamaa zangu ,Najua ni magumu mengi mlipitia mpaka kunifanya leo hii Nami nionekane mtu katika Watu. .

Sina cha kuwalipa zaidi ya kuwaombea.


Asanteni pia ndugu na Jamaa zangu wa Jamii forum nyie pia mna mchango sana katika maisha yangu Nimejifunza mengi kupia Forum hii kuna wakati Nilikuwa napitia magumu lakini kila nilipoingia humu Jf nilikuwa napata Faraja Nainuka na Kumove on.

Kuna wachache niliwakwaza either kwa lugha yangu,or Mada zangu kwa ujumla naomba Tusamehane na tugange yajayo mi ni binadamu A'm not a perfect for 100%


Nashukuru sana na Nasema Asanteni kwa ushirikiano wenu.


Happybirthday to me, Happybirthday Zero iq(Nick Name ).

[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji115] [emoji115] [emoji115] .
 
Sikukuu ya kuzaliwa waachie kina mama na watoto.

Mwanaume unakosa vitu vya kuwaza hadi uwaze siku ya kuzaliwa? Wazungu wameharibu vijana wetu.

Unakuta mtu mzima kama Le mutuz analilia kupewa happy birthday wishes, wtf?!

Hapa mambo waachieni watoto na kina mama wa kwenye mitandao.

Ushawahi kuona Bill Gates au Mark anapost kwenye page yake ya Instagram au Facebook mambo ya Birthday? Au Obama au hata mzee mzima Trump?

Haya ni mambo ya watu wasio na kazi.
 
Ata kwetu wapo .
 
Mimi naogopa kumwambia mtu happy birthday mtu mwenye ZERO IQ aweza dhani nimemtukana wakati nimemtakia happy birthday.Ngoja nikae kimya,
 
kuna jamaa angu alikuwa na huo utoto,mara aalike watu,wali nk,,siku izi hata hakumbuki hizo sherehe, huwa ni mbwembwe tu mtu unapojihisi una pesa
Mi sijaalika watu ni vyema kukumbuka siku yako ata moja na kuifanya iwe siku ya furaha kwako,kutubu na kuomba msamaha bila kusahau kumshukuru na muhumba wako kwa Kila kidogo na ata Afya anayokupa.
 
Mimi naogopa kumwambia mtu happy birthday mtu mwenye ZERO IQ aweza dhani nimemtukana wakati nimemtakia happy birthday.Ngoja nikae kimya,
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Usijari mkuu nje ya fake Id nina jina zuri tu la kidini.
 
Happy birthday...MUNGU akubariki IQ yako iongezeke kadri umri wako unavyosogea
 
Happy birthday mkuu lakini kumbuka too many birthdays will kill you
 
Happy birthday mkuu lakini kumbuka too many birthdays will kill you
Najua mkuu hatuna jinsi ni kupokea tu kwa Furaha japo siku za kuishi ndivyo zinavyozidi kupungua
 
Huwa ni siku ya tarehe kama uliyozaliwa..??? Kwanza huu ni utoto tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…