Leo ni siku yangu ya kuzaliwa

Wapendwa wana Jamiiforums

Leo ni siku yangu ya kuzaliwa, naomba unitakie chochote kile unachoona wewe kinaweza kunifariji na kunifurahisha siku yangu muhimu ya leo. Akhsanteni sana na MUNGU awabariki.

*HONGERA KWA KUONGEZA SIKU ZA KUWEPO ULIMWENGUNI NA POLE KWA KUZIDI KUKARIBIA SIKU YAKO YA KIFO!
 
Ee Mungu wa mbinguni, mjalie mja wako haja zake sawasawa na neno lako. Umuongezee maisha marefu yenye furaha na aman. La zaid azidi kukutafuta wewe ili awe na aman kuu ndan ya nafsi yake. BWANA YESU nakuomba na nikiamin utatenda yote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…