Leo ni siku yangu ya kuzaliwa.

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
10,058
Reaction score
2,195
Heshima mbele wakuu..ebana leo ni cku yangu ya kuzaliwa,ndo nimetimiza miaka 24,namshukuru mungu na me kwa kufikisha idadi ya miaka hyo coz ni wengi walitaman kuifikia bt waliishia njiani.lakni cha kuckitisha hakutakua na tafrija ya aina yoyote as nimefulia sana.over
 
Happy birthday to u Senetor!! Tafrija sio muhimu sana kama kunyanyua mikono yako na kumshukuru muumba wako kwa kukupa uhai mpaka dakika hii...

Have a wonderful day birthday boi!!
 
Hongera kwa kuongeza mafungu ya miaka 10.
Kama una utajiri wa moyoni, kutokuwa na hela leo haitamaliza furaha yako.

Furahia na watu uwapendao na wakupendao hasa familia. Kama mko creative mnaweza ifanya iwe funny bila hata pesa.

Kitu muhimu, Enjoy, its ur day!
Happy birthday!

Kwa mchana leo hamli? Au usiku hamli?
Hicho hicho kilichopo, kata keki hata ya ugali.
 
Happy birthday,,,,,madamu hakuna tafrija...nitakuja na biya yangu....
 
Happy birthday to u Senetor!! Tafrija sio muhimu sana kama kunyanyua mikono yako na kumshukuru muumba wako kwa kukupa uhai mpaka dakika hii...

Have a wonderful day birthday boi!!

asante sana mkuu.
 
asante sana kongosho.
 
Ucjal sana tht ur broke, cha msingi ni kumshukuru aliyekulinda na kukufikisha hapo. Happy birthday..
 
Happy birthday ndugu,mungu akupe umri mrefu na maisha ya mafanikio na furaha tele,enjoy ur day!
 
Hongera kwa siku yako ya kuz
aliwa,nakuombea kila lililo jema Senetor
 
Hapy birthday senator! mungu na akujalie maisha marefu zaidi. amina.
 
Happy bday mkuu...😛hoto: picha ya ukumbusho hiyo
 
Happy birthday to u Senetor!! Tafrija sio muhimu sana kama kunyanyua mikono yako na kumshukuru muumba wako kwa kukupa uhai mpaka dakika hii...

Have a wonderful day birthday boi!!

Hii imetulia Kamanda!

Inamtosha!
 
Happy birthday to u Senetor!! Tafrija sio muhimu sana kama kunyanyua mikono yako na kumshukuru muumba wako kwa kukupa uhai mpaka dakika hii...

Have a wonderful day birthday boi!!

Nice message!

Tuko pamoja nawe usijisikie mpweke hata kama hauna kitu lakini walau umeweza kufungua JF inatosha sana kuna Chamalee wengi humu tutaungana nawe kwa replyz usikonde mkuu!

Happy Birthday!
 
enjoy ur day
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…