kwani umezaliwa leo boo?
anhaaa. ikikaribia nambie nkuandalie cakeMimi ilishapita, nilikuwa namtania tu jamaa (ila naonaga ni swaga za kike mwanaume kulilia birthday wishes)
anhaaa. ikikaribia nambie nkuandalie cake
hiyo ni kama pie mchumbaHa ha ha!
Nataka uniandikie thread siyo keki.
hiyo ni kama pie mchumba