MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
HakikaMashabiki wa simba ni wajinga ndio maana leo ni sikukuu yao, si unaona mtaani wanapita wanashangilia kufungwa 3 na waarab.
Simba 🦁🦁 Nguvu MOJASIMBA ni timu moja kubwa sana na inayopendwa na wengi ndio maana haibanduki midomoni mwa wote
Tutake radhiMashabiki wa simba ni wajinga ndio maana leo ni sikukuu yao, si unaona mtaani wanapita wanashangilia kufungwa 3 na waarab.
Naamini mgeni rasmi kwenye hayo maadhimisho yao, alikuwa ni yule mwenyekiti wao mstaafu.Wanaadhimisha kila tarehe 1 April, ila mwisho saa nne asubuhi
Aliyelewa kaelewa
HakikaNaamini mgeni rasmi kwenye hayo maadhimisho yao, alikuwa ni yule mwenyekiti wao mstaafu.