Leo ni ssiku ya 45 hajaona siku zake

Leo ni ssiku ya 45 hajaona siku zake

Bakulutu

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2011
Posts
2,557
Reaction score
1,787
Habar jf,
Kuna msichana amefikisha siku 45 hajaona siku zake (hedhi) na nilipo jaribu kumuuliza kuhusu kupima ujauzito, akasema amesha pima mara 2 na hamna kitu..
Afanye nini ma Dr. ?
 
hy ni hali ya kawaida. inawezekana kipindi hiki ana hormone imballance.
yawezekana aliugua recently Au alibadili mazingira km kusafiri na kwenda mkoani ambamo hali ya hewa ni tofauti na aliyoizoea,
au pengine amekuwa na stress nyingi kipindi hiki, km mitihani, majukumu nk
Anaweza hata kupitisha miezi zaidi ya mitatu.
awe makini na tarehe zake za hatari kama kawaida cuz hata hz period zaweza kurudi tarehe zile zile as before.
 


DAWA ZA KUTEREMSHA HEDHI.

Ikiwa hedhi imezuilika kwa kufikia umri wa kumaliza au ni kwasababu ya mimba, inafahamika lakini ikiwa si kwasababu mbili hizo basi hufanyiwa dawa na kuirudisha hedhi.

1. Kunywa chai ya mdalasini.

2. Mvuje ukinywewa pamoja na pilipilimanga huteremsha hedhi iliyo fungwa katika uzai au mapito yake.

3. Manemane ikipondwa na ukinywa siku tatu asubuhi kabla ya kula chakula

4. Thoum na maganda yake huteremsha hedhi

5. Kunywa maji yaliyochemsha na zaatari

Tumia kisha uje hap unipe Fewedback Mkuu.@
Bakulutu
 
Back
Top Bottom