Yukwap huyo? Niletee pm naona tunashea hisiaKuna mdada alikua anaipenda balaa
Old schoool unaruka majokaaa hatarBeat ya SALOME ya DULLY SYKES. Inavoaanza daah acha kabisa ile kitu,
Nikitoka hapo naenda stetionery kununua karatasi za maua na stempu namuandikia barua mpenzi enzi hizo alikua bado anasoma Kondoa Girls.Old schoool unaruka majokaaa hatar
Unaandika na ujumbe kabisa soledad by westlife unachora na [emoji176][emoji176][emoji176][emoji176]Nikitoka hapo naenda stetionery kununua karatasi za maua na stempu namuandikia barua mpenzi enzi hizo alikua bado anasoma Kondoa Girls.
Niliwah kuingia nae mgogoro ilinibidi kuandika barua ndefu sana kuomba msamaha na nyuma nikachora picha ya mtu kapiga magoti anasali rosari ya Mama Bikira Maria, [emoji23] [emoji23] [emoji23]Unaandika na ujumbe kabisa soledad by westlife unachora na [emoji176][emoji176][emoji176][emoji176]