Leo nilipata wasaaa wa kutembele jalalani

Leo nilipata wasaaa wa kutembele jalalani

Jerrymsigwa

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2012
Posts
14,084
Reaction score
8,384
Duh, kumbe inawezekana hivi vitu used kwetu tanzania huwa ni mauchafu kutoka huku? nimeshangaa sana aisee kwenda jalalani na kukuta hizi bidhaa ambazo kwetu ndio tunaona ni bora kuliko za mchina? Wajasiliamali please unaweza fanya mpango ukakusanya huu uchafu ukasaidia tu kwetu kwa bei rahisi ya kusafirisha

Umasikini bwana ni kazi sana, eeh Mungu tuokoe Africa tuokoe tanzania na serikali dhalimu ya ccm
 
Attachments

  • 1084181_10151488337286012_362695000_o.jpg
    1084181_10151488337286012_362695000_o.jpg
    619.7 KB · Views: 148
  • 1090349_10151488343941012_659013070_o.jpg
    1090349_10151488343941012_659013070_o.jpg
    306.6 KB · Views: 136
  • 1090487_10151488339771012_445210319_o.jpg
    1090487_10151488339771012_445210319_o.jpg
    544.1 KB · Views: 151
  • 1090642_10151488335381012_936166769_o.jpg
    1090642_10151488335381012_936166769_o.jpg
    401.5 KB · Views: 107
  • 1090811_10151488338641012_1360721073_o.jpg
    1090811_10151488338641012_1360721073_o.jpg
    230.3 KB · Views: 115
wapi huko aiseenije kukusanya mzigo?
 
labda ushuru ndio unakuwa mkubwa zaidi ndio maana wajasiriamali wahaji huko
 
Aisee, hii wapi ndugu hiyo yote ni pesa babaangu hapa mjini, nijulishe Mara moja nifanye taratibu za kuja kusanya mzigo
 
acha upotoshaji papii,hilo sio jalala mzazi,hiyo inaitwa JUNK-YARD,jamaa anakua anamiliki eneo la kukusanyia bidhaa zenye hitilafu au zilizo njeya fasheni kwa kuzinunua kutoka kwa wamiliki kwa fedha kiduchu ama kuzichukua bure kabisa na kuziuza kama second hand goods, au kwa ajili ya recycling.
you heard!
 
Ntaweka bango nikienda tena, its damping site isipokuwa kuna wajasiliamali ambao wanaziweka sop sop na kuzipanga then unanunua kwa $ chache sana mf. Hizo bikes $10-20, pia kuna vingi tu ambavyo hutoi hata mia. Sijapotosha mkuu wangu
 
like this..... labda!!
scra.jpgscrap.jpgscrapp.jpgscrra.jpg
 
Back
Top Bottom