Manchester United vs Bayern muchen 1999 hadi dakka 90 .Bayern anaongoza 1......91.....93 man akachukua uefaLiver walianza kuchomoa dk ya ngapi na mwisho ushindi waliupataje? Ukumbuke simba hadi dk81 ilikuwa nyumba 2 kwa 0
Utakuwa umegoogle maana huo mhemko kwa kipindi kile usingeruhusiwa kuangalia mechi usiku wakati asubuhi unatakiwa uwahi kuamka kwenda..........................Ile ya liver na Ac milan nayo tuitaje
Kuongoza 1 sio shida ila kurudisha goli zaidi ya moja na mwisho ushinde.... Hiyo mifano yote ilifika extra time so mifano yako weka kuleeeeeManchester United vs Bayern muchen 1999 hadi dakka 90 .Bayern anaongoza 1......91.....93 man akachukua uefa
Hivi mada nyingine huzioni mkuu hadi ubishi na huyo mbwiga hajui lolote eti a nachagua hadi dakika za kurudisha goal sasa walio weka 90 sijui kuona hamnazoI think you have lectutant character Mkuu
Hivi mada nyingine huzioni mkuu hadi ubishi na huyo mbwiga hajui lolote eti a nachagua hadi dakika za kurudisha goal sasa walio weka 90 sijui kuona hamnazo
Ile ya Liver na Milan kule Istanbul Simba tulishailipa mwaka 2013 pale Taifa kwenye ile draw ya 3-3.....unaikumbuka?Ile ya liver na Ac milan nayo tuitaje
Boss akapewa U.. SIRManchester United vs Bayern muchen 1999 hadi dakka 90 .Bayern anaongoza 1......91.....93 man akachukua uefa