Leo! Nimeamini wanaume timamu ndio huwapa mimba vichaa

We sema umeona vichaaa wawili wakila uroda hapo hakuna mzima na ww uliyekuwa unaaangalia ni kichaaa wa tatu kwa watoto wa. Mjini tunaitwa tatu mzuka
 
Kwaiyo na wewe ukabaki unashuhudia upate cha kuposti humu. Hukujua kuwa huo ni ubakaji na umeficha yaliyojili,wewe na uyo mlinzi lenu moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…