GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Nasikia kumbe aliyekuwa Rais wa Marekani Barrack Obama alikuwa Shoga ( Gay ) ila kumbe yule tuliyekuwa tunadhani ni Mkewe Michelle Obama hakuwa Mwanamke bali alikuwa ni Mwanaume na inasemekana hata Wamarekani kadhaa ( wenye Akili Kubwa na Udadisi wa Mambo hili ) walilijua ila CIA ilitumia Nguvu kubwa ya Kulizuia lisiwe Mjadala wa Kidunia.
Sasa thubutu tu Kunibishia hili mwenye Mood ya kutaka Kubishana leo hii nilianzishe.
Natumai kila mwana JamiiForums ameamka Salama leo hii Jumamosi na kwa wale wenye Changamoto basi Mwenyezi Mungu awapiganie nyote.
Sote tuwe na Siku Njema ya leo.
I love you all.