Mr the dragon
JF-Expert Member
- Apr 14, 2017
- 1,937
- 3,718
Kwanza nieleweke nia sio kuwavunjia heshima ila nikuwaweka sawa pindi wanapotunyoshea vidole juu ya maadili yetu na wao wajiangalie makosa yao.
Wazee wamekuwa wakitulalamikia vijana wa Leo kwamba hatuna maadili ila mimi nikiwaangalia naona wao wazee ndo hamna kitu mara Mia ya sisi.
Hawa wazee ndo wanaoongoza kwa kulewa hovyo hovyo wanakunywa aina zote za pombe kuanzia chang'aa,gongo,ulanzi mpaka za kisasa safari,konyagi,Jack Daniel etc
Hawa wazee ndo wanaoongoza kutuibia mademu zetu na kutembea na vitoto vya sekondari.inatia aibu kibabu kilichooa kina miaka sitini kinatembea na msichana wa miaka ishirini mwisho wa siku eti kinajiona kina maadili unafiki mtupu.Masugar mami nao wanahangaika na viben ten yaani ni tabu tupu.
Hivihivi ndo vimelifikisha taifa hapa lilipo na vilisomeshwa bure na nyerere.Hivi ndo viliingia mikataba ya hovyo hovyo inayoligharimu taifa kama Richmond,Epa na mikataba ya madini.Mwisho wa siku vinajifanya eti vina maadili unafiki mtupu.
Nawachana nyinyi wazee nyie ndo hamna maadili mara Mia sisi vijana.
Nadhani nimeeleweka na nyie wazee.Asanteni