Leo nimeandaa tena kuku kama wa KFC, njoeni mjifunze

Leo nimeandaa tena kuku kama wa KFC, njoeni mjifunze

monotheist

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2017
Posts
830
Reaction score
1,449
Msela leo magetoni nikaamua kuandaa tena kuku kama wa KFC ni watamu sana yaani

MAHITAJI NILIYOTUMIA;
Vidali viwili, mafuta lita 1, unga wa ngano nusu, soya souce, curry powder, paprika, black pepper, unga wa pilipili inayowasha, chumvi na limao

Mchanganyiko huu nimechanganya kwenye kuku na kwenye unga wa ngano
PXL_20241101_114328315.jpg
PXL_20241101_134117943.jpg
PXL_20241101_115120516.jpg
PXL_20241101_134403040.jpg
IMG_20241101_142201.jpg
IMG_20241101_143034.jpg
IMG_20241101_144220.jpg
 
Msela leo magetoni nikaamua kuandaa tena kuku kama wa KFC ni watamu sana yaani

MAHITAJI NILIYOTUMIA;
Vidali viwili, mafuta lita 1, unga wa ngano nusu, soya souce, curry powder, paprika, black pepper, unga wa pilipili inayowasha, chumvi na limao

Mchanganyiko huu nimechanganya kwenye kuku na kwenye unga wa ngano
Nasubiri pikchaz
 
Nimeona mafuta lita tu ngano sijaona ngapi na uchanganyaji wake pamoja au, tope hatua kwa hatua
 
Dah mkuu mm si mwandishi mzuri nitajitahidi niandae video fupi
Yaani ngano robot kilo, chumvi vijiko vya chakula 3 and so alafu ukaanza kuloweka kuku mafuta na limao chumvi kwa muda gani alafu ukaweka wese jikoni ukachovya kipande cha kuku then uweka kwa mafuta yaliochemka, hivo tu
 
Hawa kuku broilers siwapendi kabisa.napenda kula wa kienyeji ambaye ana umri kuanzia mwaka mmoja na kuendelea.
 
Siku ya kwanza kujaribu kupika nilisema ngoja nikaange ndizi. Nimeacha mafuta yachemke ile kuweka ndizi moto ulipanda pale kwenye lile kalai la kukaanga, nikazima jiko chapu chapu

Ile ndio ikawa mara yangi ya kwanza na ya mwisho kujishusisha na masuala ya mapishi
 
bora wewe mimi niliunguza yai la kuchemsha ndugu
 
kwani nini malengo yako katika kumla kuku
Kupata protini lakini kuku wa mwezi mmoja siwezi.Mimi nafuga wa kula nyumbani ambao ni wa kienyeji zaidi ya miezi sita ndiyo namla na broilers Kwa ajili ya biashara ambao Mimi binafsi siwezi kuwala.
 
Hawa kuku broilers siwapendi kabisa.napenda kula wa kienyeji ambaye ana umri kuanzia mwaka mmoja na kuendelea.
Huyo broiler umepata basi? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]sembuse wa kienywji wee
 
Back
Top Bottom