monotheist
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 830
- 1,449
Nasubiri pikchazMsela leo magetoni nikaamua kuandaa tena kuku kama wa KFC ni watamu sana yaani
MAHITAJI NILIYOTUMIA;
Vidali viwili, mafuta lita 1, unga wa ngano nusu, soya souce, curry powder, paprika, black pepper, unga wa pilipili inayowasha, chumvi na limao
Mchanganyiko huu nimechanganya kwenye kuku na kwenye unga wa ngano
Dah mkuu mm si mwandishi mzuri nitajitahidi niandae video fupiNimeona mafuta lita tu ngano sijaona ngapi na uchanganyaji wake pamoja au, tope hatua kwa hatua
Mkuu naoaje wakati jukwaa limenifundisha kataa ndoa😜namna hii kijana utaoa kweli
Mkuu naoaje wakati jukwaa limenifundisha kataa ndoa😜
Yaani ngano robot kilo, chumvi vijiko vya chakula 3 and so alafu ukaanza kuloweka kuku mafuta na limao chumvi kwa muda gani alafu ukaweka wese jikoni ukachovya kipande cha kuku then uweka kwa mafuta yaliochemka, hivo tuDah mkuu mm si mwandishi mzuri nitajitahidi niandae video fupi
bora wewe mimi niliunguza yai la kuchemsha nduguSiku ya kwanza kujaribu kupika nilisema ngoja nikaange ndizi. Nimeacha mafuta yachemke ile kuweka ndizi moto ulipanda pale kwenye lile kalai la kukaanga, nikazima jiko chapu chapu
Ile ndio ikawa mara yangi ya kwanza na ya mwisho kujishusisha na masuala ya mapishi
achana na fikra za ujima ndugu watu wamesha hama ukoHawa kuku broilers siwapendi kabisa.napenda kula wa kienyeji ambaye ana umri kuanzia mwaka mmoja na kuendelea.
Siyo ujima Bali Kila mtu ale akipendacho.mimi binafsi siwezi kula hiyo takataka labda Kwa biashara sawa.achana na fikra za ujima ndugu watu wamesha hama uko
kwani nini malengo yako katika kumla kukuSiyo ujima Bali Kila mtu ale akipendacho.mimi binafsi siwezi kula hiyo takataka labda Kwa biashara sawa.
Kupata protini lakini kuku wa mwezi mmoja siwezi.Mimi nafuga wa kula nyumbani ambao ni wa kienyeji zaidi ya miezi sita ndiyo namla na broilers Kwa ajili ya biashara ambao Mimi binafsi siwezi kuwala.kwani nini malengo yako katika kumla kuku
Huyo broiler umepata basi? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]sembuse wa kienywji weeHawa kuku broilers siwapendi kabisa.napenda kula wa kienyeji ambaye ana umri kuanzia mwaka mmoja na kuendelea.