Leo nimeandikiwa fine kisa taa ya break imeungua

fazsb

Member
Joined
Aug 4, 2011
Posts
50
Reaction score
5
Habari wadau ! Leo nimeandikiwa fine kisa taa ya break imeungua na taa zinaungua muda wowote , je hii kisheria imekaaje ? si alipaswa kunipa taarifa tu kama onyo au mimi ndo sijui
 
Onyo ni busara/utashi wake tu, lipa faini mkuu kabla haijabet. Yes taa inaungua mda wowote ila taa ya breki muhimu sana jombaa, sasa hivi gari itagongwa nyuma.

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Kama zimeungua zote sawa, ila kama moja ni busara kumkumbusha ile moja itakufaa. Taa ya 4,000 unalimwa 30,000.
 
Habari wadau ! Leo nimeandikiwa fine kisa taa ya break imeungua na taa zinaungua muda wowote , je hii kisheria imekaaje ? si alipaswa kunipa taarifa tu kama onyo au mimi ndo sijui
Ungempa hela ya kiwi angepotezea.
 
Habari wadau ! Leo nimeandikiwa fine kisa taa ya break imeungua na taa zinaungua muda wowote , je hii kisheria imekaaje ? si alipaswa kunipa taarifa tu kama onyo au mimi ndo sijui

Yaani wanacho chukulia wao kisheria ni kwamba gari ikiwa na hitilafu yoyote ambayo hairuhusiwi kuendeshwa basi paki pembeni shughulikia tatizo ndio uendeshe..... au ita breakdown waje wakukokote
 
Labda hukujadili chenji ya kusafisha na kupolish viatu.
 
kama alikuambia nipange ungempa buku 5 tu, angekushukuru maana hawa daladala wanawapa hadi buku ila gari ndogo ndiyo hivyo atakuambia mbona wiper ya kushoto inamtegea mwenzake nakuandia kosa, yaani polisi hakosi kosa hata iweje
 
Habari wadau ! Leo nimeandikiwa fine kisa taa ya break imeungua na taa zinaungua muda wowote , je hii kisheria imekaaje ? si alipaswa kunipa taarifa tu kama onyo au mimi ndo sijui
Kukomoana tu....Kuna nchi fulani nilibahatika kwenda nikashangaa magari mabovu kweli kweli mengine hayana hata bamba headlight etc...lakini polisi hawajishughulishi nayo...zingatia nchi hiyo ni first world(wajuvi wa magari)
 
Habari wadau ! Leo nimeandikiwa fine kisa taa ya break imeungua na taa zinaungua muda wowote , je hii kisheria imekaaje ? si alipaswa kunipa taarifa tu kama onyo au mimi ndo sijui
Kama taa imeungua ni kosa kubwa.
Kama imeungua gropu ni kosa.dogo.
Weka gropu sh.1,000/= au 500/=
 
Back
Top Bottom