Civilian Coin
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 2,305
- 4,380
Ama ni mwanae?mdogo wa Deo kisandu hahaha
leo majira ya saa 2 na nusu usiku pale kwa sokota temeke niliagiza chipsi na mayai mawili na soda ya pepsi ya baridi lakini nimeshindwa kumaliza kula mpaka nimeona jau.
Yap yap nahisiAma ni mwanae?
Kweli like father like son
Haha..Mwanaume wa dar
Huyu atakuwa deo mwenyeweAma ni mwanae?
Kweli like father like son
Jr,,Junior ..mtoto wa Deo kisandu,,,mdogo wa Deo kisandu hahaha
Kufutwa kwa nyuzi mara kwa mara imesababisha tuhamie huku,, huku hakuna ban wala uzi haufutwi ..karibu kama mm nlivyokaribia rasmiNaiona JF taratibu inapoteza muelekeo wengi wa wachangiaji wa maana wanakaa pembeni wameamua kuwa wasomaji tu, maana utoto mwingi, threads zisizo na maanadili dharau kwa baadhi ya wachangiaji, siasa nyingi, ya maana Ni machache na hupingwa au kukosa wachangiaji