Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Deogratius Kisandu kapata muwakilishi makini sana.leo majira ya saa 2 na nusu usiku pale kwa sokota temeke niliagiza chipsi na mayai mawili na soda ya pepsi ya baridi lakini nimeshindwa kumaliza kula mpaka nimeona jau.
kweliiJr,,Junior ..mtoto wa Deo kisandu,,,
leo majira ya saa 2 na nusu usiku pale kwa sokota temeke niliagiza chipsi na mayai mawili na soda ya pepsi ya baridi lakini nimeshindwa kumaliza kula mpaka nimeona jau.
Mi ndo kwanza namaliza kilo nzima na ugali dona wa kutosha na parachichi mbili kubwa na tango moja huku nikishushia na maziwa mtindi, kisha baada ya lisaa limoja napiga maji kilimanjaro ya lita na nusu, kisha modogo mdogo natembea kwa miguu kwenda masikani mwendo wa kama lisaa hivi, sitaki cha pikipiki, bajaji wala daladala.Nmemaliza kula kitimoto ½
Na ndiz 4
Nashushia na nyag yang hapa
Kweli wanaume wa DSM
Mlizaliwa bahat mbaya