ndanshaumartin
Member
- Jun 1, 2015
- 29
- 19
Alieyepanda alikuwa anamsindikiza[emoji2]nini kilichokuchekesha hivyo?
Alieyepanda alikuwa anamsindikiza[emoji2]
Huyo msindikizaji bila shaka atakuwa Msukuma... On a serious note...Kuwa na sense of humor ni kipaji na huyu mwanzisha mada inaonekana hana. Ukisema joke yako halafu walengwa bado wanauliza nini cha kuchekesha basi jua kuwa umeshindwa. Ajipange upya!inachekesha eeh!! hiyo tren ni ya wapi mkuu? tukio lenyewe ni la leo leo? duh!! inabidi tujiulize huyo mtu ni wa wapi...much bad inawezekana tren ilikuwa ina behewa moja tu...