Mzuka Wanajamvi,
Naingia tu kwenye treni nakaa kwa mbele yangu baguzi mzee akaanza kunishambulia Do you have ticket go back to Africa.
Nilimind lakini nimeshazoea nikamjibu I am not going anywhere I will stick my blackass here forever.
Abiria waliangua kicheko cha hatariii.