Leo nimefanya scrub. Mmh!

Leo hii mkuu. Sheeda. Vibint vyenyewe vidogo. Kweli leo nimeshikwa
Wengi huwa wako kwaajili ya pesa,na kunakuwaga na chumba cha siri cha kubanjukia,wengi wao wameadhilika,wezi na ukiingia kichwakichwa utaambulia magonjwa ya zinaa na kuchezew picha la kihindi uibiwe kila kitu
 
Kuna ukweli kwa % nyingi .
 
Shida ni scrub au miwaya?
 
Wivu tu unakusumbua.
 
Kuna Mdada huwa anawafanyia midume facial scrub maeneo ya Moshi stand ( juu ghorofani) na ana yako kubwa sana...,akiwa anamfanyia mwanaume hyo facial scrub,kisogo cha mwanaume anakiweka katkati ya kifua chake,wanaume wenzetu huwa wanalia kama watoto wadogo!
 
Hanma. Nashukuru kulikuwa na tv ikionyesha game ya simba na green nini sijui. Kila nikijaribu kuangalia kwa ajili ya kupotezea ananigeuza shingo. Dah kweli shetani ana jinsia ya kike.
mashujaa wa kijani wamemgalagaza nyau kwa penati nimefurahi sana
 
Haahahahahh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…