Leo nimefanya scrub. Mmh!

hahhhahahaha nacheka na neno lako majaribu ni mtaji !lol
mimi nimecheka aliposema eti kapakwa mafuta kama yana mchanga, mara ya mwisho nilienda mwaka jana baada ya yule mdada kuniingiza mkono ake kwenye kifua kuelekea kwenye vichuchu, aisee nilipata wakati mgumu pale Nevada pale Buguruni
 
Hahahahahhah huu upuuzi sirudi tena jamani. Utakuta watu wengine wanafanya mara kwa mara kwa ajili ya hayo mambo.
 
mimi nimecheka aliposema eti kapakwa mafuta kama yana mchanga, mara ya mwisho nilienda mwaka jana baada ya yule mdada kuniingiza mkono ake kwenye kifua kuelekea kwenye vichuchu, aisee nilipata wakati mgumu pale Nevada pale Buguruni

duh !anakuingizaje mkono kifuani? jaman jaman ! nataman wanaume wanaofanya scrub niwashauri waongizane na wake zao !inaumiza sana jaman !na mlivyo na mihemko!!!!!!!!ptu
 
Inaelekea wewe upo vizuri....mwamvuli wako sio kama wa tigo maana haudimami hadi uwashwe[emoji6] [emoji3]
 
Scrub tu mnapiga kelele. Massage ndo kiboko unafanyiwa ukiwa huna nguo hata moja then unapakwa mafuta mwili mzima halafu mdada anakuchua taratiiibu kwa mikono laini anagusa sehemu zote.
 
Walichonifanyiaga hao wadada wa barbershop mimi kama mwanaume, sitaki kabisa kuingia mahali wanaita barbershop. Wana majaribu, unaweza ukatoka umejiloanisha.
Wewe ni mwanaume? Kweli dunia tambara bovu!!
 
Daaah kweli pale jirani na kwa meku?
 
mimi nimecheka aliposema eti kapakwa mafuta kama yana mchanga, mara ya mwisho nilienda mwaka jana baada ya yule mdada kuniingiza mkono ake kwenye kifua kuelekea kwenye vichuchu, aisee nilipata wakati mgumu pale Nevada pale Buguruni
Hahahhaha! Ilishwahi kunitokea hiyo nikamwambia binti unaonaje ukimaliza na kusugua dushe kabisa
 
Yaani wewe scrub tu umedindisha?!!
 
Ukawa umepata dem, unachapiwa kila siku!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…