Leo nimegundua sababu ya moyo wangu kugoma kabisa kuwa naye

Leo nimegundua sababu ya moyo wangu kugoma kabisa kuwa naye

SIPIYU30

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
1,751
Reaction score
2,437
Nisiwachoshe wanajamvi.

Miaka michache huko nyuma nilikutana na binti mrembo nikiwa kwenye taasisi fulani kwa ajili ya huduma fulani niliyoifuata hapo. Mtoto mweupe flani hivi amazing na kwa kweli ngozi nyeupe ni ugonjwa wangu, ila awe mweupe natural. sipendi kabisa mtu anayejiwekea mikorogo na make ups. Basi hapo kwenye hiyo taasisi bosi akanikabidhi kwa huyo mdada anihudumie. Na kwa sababu kulikuwa na mchakato kidogo ilibidi tupeane namba za simu ili kurahishisha ufuatiliaji wa mambo yangu. Baada ya siku kadhaa mambo yangu yalikaa sawa so issue za kiofisi zikawa zimeisha. tukawa tunawasiliana kwa kupeana hi tuu na story za hapa na pale. Baada ya hapo mwanaume nikajaribu kuchokoza, kidogo nikaona anajaa ndani ya 18 mapema kuliko nilivyotegemea. Sasa akawa ananipiga mizinga midogo midogo huku tukipanga mikakati ya kwenda kubanjuana kisawasawa.

Ila kila nikitaka kupanga tukio moyo wangu hautaki kabisa, hivyo naamua kupotezea na kuweka visingizio, then tunaamua kupanga wakati mwingine tena. Hiyo hali ikaendelea several times na yeye akawa haachi kunitafuta, mara ananiomba buku 10 au 20. nikawa nampa ndogo ndogo baada ya kuona moyo hautaki kabisa. Mwaka juzi mwishoni akahamishwa kwenda makao makuu ila niliendelea kuwasiliana naye. Sasa leo nikaamua kumtafuta baada ya kutowasiliana naye kwa muda mrefu ni kama tumesahauliana. Nilipomcheki whatssap akaanza kuuliza nani mwenzangu? nikazuga kulalamika kuwa umeamua kunidelete? Akasema alipoteza simu. Nikaanza kumsifia sifia akajichanganya akauliza wee Davi? nikasema yes.

Ukweli Mimi siyo Davi, ila nikataka nione atarespond vp. Nikaona anajaa haraka tu. Nikamwambia nimekumisi sana yaani njoo basi tukojozane. Akauliza uko wapi, nikajibu nipo around wee niambie uko tayari twende? nikaandae mipango. Akasema saa ngapi, nikasema sasa hivi twende. Akasema mbona ghafla sana sasa. sijui kama ntaweza. Nikamwambia jitahidi aisee hali tete. Baada ya muda kidogo akasema aisee leo umenikurupusha sana tufanye kesho. Kilichofuata nikawa namchombeza sana kuchat na viemoji za kubanjuana alaf mwishoni nikamsifia na tigo yake akasema nikikupa utaweza? Nikamwambia tena hiyo ilivyo safi naiachaje, sema nakuogopa kuomba usije ukanifukuza. Akachekaaaa, akasema poa tutawasiliana kesho.

Baada ya kuchat naye sasa nikawaza kumbe ndo aina ya mwanamke ambaye angekuwa mpenzi wangu. kwamba wengine wanajichapia hadi tigo yuko tayari kutoa. nimeishiwa pozi. Kingine nawaza hivi akija kugundua alikuwa anachat na mtu mwingine na siyo Davi wake sijui atajisikiaje? Na sijui atanichukuliaje?

Kazi iendelee
 
Nisiwachoshe wanajamvi.
Miaka michache huko nyuma nilikutana na binti mrembo nikiwa kwenye taasisi fulani kwa ajili ya huduma fulani niliyoifuata hapo. Mtoto mweupe flani hivi amazing na kwa kweli ngozi nyeupe ni ugonjwa wangu, ila awe mweupe natural. sipendi kabisa

kazi iendelee
Siku hizi hayo ni mambo ya kawaida tu hakuna la ajabu especially kama ulikuwa umepanga kupiga na kusepa. Hayo mambo unamaindi kama unataka kuoa....

Sema kwa binti anayetoa tigo uwezekano wa kupewa VVU ni mkubwa sana maana kule michubuko ni lazima na kondomu kupasuka ni rahisi tu. Ila watu wanajitumbukiza tu kisa joto la ile mbolea, mbanano na bakteria wa kule. Dunia!
 
Siku hizi hayo ni mambo ya kawaida tu hakuna la ajabu especially kama ulikuwa umepanga kupiga na kusepa. Hayo mambo unamaindi kama unataka kuoa....

Sema kwa binti anayetoa tigo uwezekano wa kupewa VVU ni mkubwa sana maana kule michubuko ni lazima na kondomu kupasuka ni rahisi tu. Ila watu wanajitumbukiza tu kisa joto la ile mbolea na bakteria wa kule. Dunia!
wale bakteria wa kule hauwezi kutoka salama....lazima ka-UTI utaondoka nacho.....Hatari sana.
 
Nisiwachoshe wanajamvi.
Miaka michache huko nyuma nilikutana na binti mrembo nikiwa kwenye taasisi fulani kwa ajili ya huduma fulani niliyoifuata hapo. Mtoto mweupe flani hivi amazing na kwa kweli ngozi nyeupe ni ugonjwa wangu, ila awe mweupe natural. sipendi kabisa

kazi iendelee
Ww kutana nae kula mzgo tembea
 
Siku hizi hayo ni mambo ya kawaida tu hakuna la ajabu especially kama ulikuwa umepanga kupiga na kusepa. Hayo mambo unamaindi kama unataka kuoa....

Sema kwa binti anayetoa tigo uwezekano wa kupewa VVU ni mkubwa sana maana kule michubuko ni lazima na kondomu kupasuka ni rahisi tu. Ila watu wanajitumbukiza tu kisa joto la ile mbolea na bakteria wa kule. Dunia!
So sad
 
Alafu mimi huwa napenda kuwategea kwenye hicho kipengele. nikishaona dalili tuu hata kama hajakubali, yaani nikishaona dalili kuwa nikimbembeleza anaweza kunipa basi nampiga kibuti cha karne
Nanyi mpo na shida hapo.
 
Nisiwachoshe wanajamvi.
Miaka michache huko nyuma nilikutana na binti mrembo nikiwa kwenye taasisi fulani kwa ajili ya huduma fulani niliyoifuata hapo. Mtoto mweupe flani hivi amazing na kwa kweli ngozi nyeupe ni ugonjwa wangu, ila awe mweupe natural. sipendi kabisa

Kazi iendelee
Kuna mwanamke alinipeda Hadi akataka kbsa kuhatarisha tigo yake nivumue wakt mm nilitaka kuoa kbsaa [emoji1787] hapo hapo sikkumtafutaga Tena nikamlima bloku nzito kbsaa

Ni hatari San mwanamke eti atake Hadi kuoana lkn pia anipe tigo anasema nitakupa nisichepuke
 
Wewe ulipoenda kumtongoza ulikuwa unafikiri wewe ndo mwanaume wa kwanza kuwa naye Nini?

Lazima alikuwa anadate na mtu/ watu wengine ( mfano huyo Davy) kabla ya wewe kukutana naye.Sasa cjui kilichokuogopesha hapo Ni Nini wakati hayo mambo Ni ya kawaida.
 
Acha uboya jamaa nenda kale tigo hiyo ukimaliza anza dozi ya Amoxclav 625mg au cefixime 400mg maana kule nyuma kuna bacteria wengi wa UTI ila ajali kazini kale tigo hiyo acha kuzubaa

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom