Leo nimejichanganya kwa malaya Kahama

ndugu mdau, pole.

hata hivyo,
that's pure gonorrhea gentleman,
huna haja ya kusubiri na haukua na namna ya kukwepa hiyo kitu. Nenda hospitali moja kwa moja ukapate tiba kabla mambo hayajawa mabaya zaidi hapo mbeleni,

Na gonorrhea ya sikuizi ilivyo kali, ukiichelewesha sana kuitibu, unaweza kujikuta hadi una kunya usaha mzito wenye harufu kali mbaya
 
nikiangalia Ile kitu sio manii kabisa nikamwambia akavunga kamind mi mwenyewe mda huo nshatoka mchezoni nikampa hela yake akapita hivi imeniuma kinoma kuachia hela kizembe hvo kisa nyege (nahisi kama nimerogwa hivi)
Be a Man, usiongozwe na hisia (Nyege), hakikisha unaongozwa na Akili.

Mtu isipomfaa akili yake, utamdhuru Ujinga wake.
 
duuh !
 
Safari hii utakua na makuu.
 
Hizo ni manii za watangulizi wako wa kuipiga
 
pumbavu acha umalaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…