Leo nimejichanganya kwa malaya Kahama

Ww na mtoa mada hamna utofauti, demu anajiuza uwanja wa fisi kwa 3000 huyo huyo anajiuza mitandaoni kwa 100k
si kweli.
mwanamke wa kujiuza kwa laki 1 hawezi kujiuza kwa elfu 3 au 5. katika hesabu za kawaida tu huyu wa elfu 5 watu kama wew mtampapalikia wakati yule wa laki watakaompata ni wachache.
 
si kweli.
mwanamke wa kujiuza kwa laki 1 hawezi kujiuza kwa elfu 3 au 5. katika hesabu za kawaida tu huyu wa elfu 5 watu kama wew mtampapalikia wakati yule wa laki watakaompata ni wachache.
Sawa, Endeleeni kupigwa hvy hvy ndo mana nikasema akili yako na ya mtoa mada ni sawa.
 
Kinachokuuma Ni Nini
Wakati Cha Mjinga, Chaliwa Na Mwerevu
Kubali Tu Wewe Ni Kapu La Mjinga
 
Duuh...! Kuna watu mna roho ya paka. Mimi hata kwa condom 3 siwezi kununua malaya . Tena kahama. Chukua uvumilivu tongoza tu demu kitaa. Kuliko kununua mtu amejitambulisha mitandaoni anakiuza
 
Mkuu tayari, kapimu HIV. Unaukumbuka wimbo wa prof Jay ft Ferouz - Foleni.
 
Duuh...! Kuna watu mna roho ya paka. Mimi hata kwa condom 3 siwezi kununua malaya . Tena kahama. Chukua uvumilivu tongoza tu demu kitaa. Kuliko kununua mtu amejitambulisha mitandaoni anakiuza
kula tano tano gentleman πŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ‘Š
 
Kuna dem nilikuwa nae siku 1 nilienda dry kesho yake jioni nikikojoa chuma inauma nikasema tayari gono hili ikabidi nimfate ila sikumkuta nikazama ndani ile kupekua kwenye mkoba wake ninakutana na njugu mawe pamoja na kadi ya kuchukulia hizo njugu aisee nilitetemeka yaani anaukimwi na gono juukama nyongezaπŸ₯ΆπŸ₯Ά....ilibidi nijipeleke mwenyewe hospitali nikatoa maelezo pale nikapewa njugu za siku 28 aisee hizo siku 28 nilikonda huku najiona ila nashukuru nilimaliza nikarudi kupima ikawa fresh nikikumbuka nilizama mpaka chumvini kumbe kisima kinagono loh!! Ngojeni nikatapike kwanza narudiπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…