Leo nimejichanganya kwa malaya Kahama

Ndo ukubwa huo, mtafute urudiane nae Tena na ndom
 

Pole mkuu, kama alikuwa anatumia dawa ARV kwa usahihi. Usingepata waya/moto.
Nakupongeza kujiongeza; kuwa makini next time.
Nakupa tip; hakuna mwanamke anauza hana moto/umeme. Chukua hii itakusaodia. 😊
 
Where there is pleasure there is always a danger
 
Ni wazi wewe ni mshamba, pengine ndio umeanza kununua malaya, kahama kuna malaya wa gredi ya juu sana kwa hiyo laki uliyotoa. Huyo malaya aliye mwaga vitu vyeupe ni wa bei ya sh 5000 sio laki
We mngese ni mnunuzi mkuu πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…