Leo nimejichanganya kwa malaya Kahama

Nenda Hospital kamipe kama vp uanze PEP
 
Yaani nasoma hii mada huku nina mzigo Wa PEP ndio nimeanza kuutumia leo Ila za Siku hizi sio Kali hazileweshi.

Juzi Kuna demu nilienda kumla, kabla sijakojoa condom ilipasuka halafu uboo ulitoka na damu nyembamba. Kwa kweli nimeshindwa kuhimili mawazo ya nimenaswa au nimenusurika, ikabidi nifate mzigo Kwa hiari yangu mwenyewe.
 
🀣🀣🀣🀣 The moment you knew you fucked up🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
sio jambo zuri la kucheka, lakini inawia vigumu sana kujizuia kucheka kwakweli, dah!,

tujitahidi kuzuia na kudhibiti tamaa zetu za mwili ndrugu zango, vinginevyo tutaumia sana na hizi fedheha ndogo ndogo kama utia, gono, kaswende n.k , tunazonunua kwa pesa nyingi πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…