Leo nimejichanganya kwa malaya Kahama

Hayo maradhi yamekuwa sugu sana kipindiki hiki, sijui tatizo ni nini.
 
Nimesoma comments zote moyo ukiwa unapiga pah pah.

Sema nini wakuu, nadhani inahitaji roho ya paka kulala na mtu ambaye sio mpenzi wako, comfortably.

In my next life naomba nizaliwe mwanaume….
 
Nimesoma comments zote moyo ukiwa unapiga pah pah.

Sema nini wakuu, nadhani inahitaji roho ya paka kulala na mtu ambaye sio mpenzi wako, comfortably.

In my next life naomba nizaliwe mwanaume….
Vijana saizi wakiwa katika mahusiano wanakimbilia kuchunguliana kwanza badala ya kujua afya zao wote sambamba na kijana huyu nyege zimemponza
 
Ulitaka makuu.
 
Mimi miaka hiyo nishanunua 40K mpaka asubuhii makubaliano...Cha ajabu alinitumia picha kaliii mtandaoni,kuonana sura nyingine.

Abdala kichwa ndogo alikasirika usiku mzima akalala ,ila asubuhi sema nikamtoa tu pesa yake maana alikua anatia huruma 😁😁.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…