Leo nimejichanganya kwa malaya Kahama

Ulikuwa umelewa???
 
Sasa wa kitaa si ndio hao hao kwani wanaojiuza wanatokea Dunia nyingine? πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
No. Huwezi kulinganisha demu yuko kwa ajili ya hiyo kazi tu kila siku zinapita hapo zaidi ya 6 x 3,3. Huwezi kulinganisha na demu umekutana nae njiani ametumwa sokoni kununua bidhaa arudi home chap.
 
... afadhali hata wewe, ... Mimi nimehudumia demu long time kinoma, gharama zaidi ya M1, na muda wote ananipiga chenga za danadana, ... sasa siku ananipa nikakutana na uvundo wa panya mfu SI NDO NIKAISHIA KIMOJA NA KUJIDHARAU!!!
ANYWAY SIKOMI! πŸ˜…
 
AMEDAI ALIVAA CONDOM
 
gono haikwepeki gentleman hata uvae kondom, utaikuta imetangulia bafuni kwenye sabuni alioitumia mwenye gono au kwenye taulo alilotumia mwenye gono πŸ’
... 'ata wakati wa kuvua hiyo condom hakikisha kwanza unaosha dude na condom yake kwa DETTOL MEDICATED SOAP kabla ya kuivua, VINGINEVYO USIJEISINGIZIA CONDOM KUVUJA! πŸ˜…
 
... hivi wewe kweli ni Kijana asiye na makuu ? 😎
 
... 'ata wakati wa kuvua hiyo condom hakikisha kwanza unaosha dude na condom yake kwa DETTOL MEDICATED SOAP kabla ya kuivua, VINGINEVYO USIJEISINGIZIA CONDOM KUVUJA! πŸ˜…
hakunaga muujiza wa kukwepa gonorrhea gentleman, unless ubaki njia kuu tu,

ukivuka boda tu umekwisha endapo umekutana na mchepuko wenye nayo πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…