Certified Hater
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 1,760
- 3,733
Hahaha hahaha
Mie wameniliza sana jana hao wanaume
Hivi wale wanaume wanaolialia hapa jf eti sijui wanawake wamewafanya nini huko huwa ni wa wapi eti?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilipambana na machozi yangu mkuuY
yaan badala ya wewe ulie ndo ubembelezwe midume ndo ilikuwa inalia sasa sijui nani alikubembeleza sasa?
HapanaMtuvumilie tu ndo wanaume zenu sisi mtake msitake
MaweeeeNilipambana na machozi yangu mkuu
Watoto wenu wa kiume mjue mmewazalia DarPole pole mkuu. Wakiona hizi nondo si ajabu wakaishia kuangua kilio tena [emoji16][emoji16]
🤣🤣🤣🤣Wanadaresalama !!! Mungu anawaona wallahi !huko KabarekOmukama mtajiselfi mpaka migomba itaomba poo. Muwe mnatusaidia kuzika jama... mwanaume halii kwa sauti na kugara gara.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji41][emoji41][emoji41]Pole sana mkuu. Imebidi nicheke kwa nguvu japo unaongelea ishu za msiba. Wanaume wa Dar ni janga la kitaifa [emoji16][emoji16][emoji16]
PoleMimi hao wanaume ndo wameniliza yaani wanalia mpaka na mie nikalia
Ulimhola?
Wanaume wa Dar waje na huku Simiyu tuwape mashamba walime kwa sababu hakuna namna. Wanaume wemejisiliba faundesheni na kujipaka mascara utafikiri mademu. Kha !!! [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji6][emoji16][emoji16][emoji6][emoji6][emoji2211][emoji2211][emoji2211]wewe naona unataka mada kesi. Kama wamezimia msiban tu, wakiona jembe si ndo wata rip. Mimi simo ila nakuona kama mfungwa mtarajiwa kwa kusababisha desi ya mwanadarisalama
Afadhali leo umelijua hilo karibu mikoa ya wakulima kila kitu sisi ni rahisi tu hata msiba hatulii kama wanawake.
Tunaweka nyimbo za dini tena zile za kuabudu kusindikiza msiba alafu tunaendelea na kupashana habari mbali mbali wakati huo wakina mama wamejifunika kanga vichwani na wakiwa wamekaa kwenye mkeka kumfariji mfiwa kwa majonzi ya hali ya juu.
Wenyeji hasa kina mama ndio utakuta wanalia mpaka wanazimia, baadhi yao wakikumbushia utu na ubinadamu wa marehemu kwa kutamka wakiwa wanalia, wanawake marafiki na majirani nao hulia kwa kukumbuka wapendwa wao waliotangulia katika msiba huo hivyo kudhani wote wanauchungu na marehemu kumbe wanawalilia ndugu zao.
Misiba ya huku kwetu msiba bila kuchinja nyama ya ng'ombe na ugali wa nguvu huo sio msiba lakini DaRi SaLama haki ya Mama msibani wanapika visheti na chai na endapo utakuta chakula basi ni wali kiduchu sana.
Maji ya kopo hayakosekani misiba ya DaRisaLama wakati huku mikoa ya mashambani tunakunywa maji ya kisima yaliyowekwa kwenye ndoo na hatupati typhoid.
DaRisaLama kila kitu ni shida tu, kuku halali gizani, mbwa kazi yake ni kula na kunya tu ukimrushia jiwe anakimbilia ndani, paka anacheza na panya tena panya akijigonga kwa bahati mbaya miguuni mwa paka ujue paka atakimbia kama kapigwa jiwe.
DaRiSaLaMa kuna mengi ya kushangaza, mwanaume anafanyiwa scrub eti kurekebisha ngozi na kuwa soft, ni aibu.
Mtu anakwenda Gym ndani kumefungwa AC akitoka hapo na kopo la maji baridi eti ana control jotoridi baada ya kutoka zoezini.
Wanakimbia marathoni fake humo kwenye vyumba vya Gym, vifaa vipo flat yaani hakuna kupandisha mlima wala kushuka, wanawake wamegundua kutengeneza shape kwa kutumia Gym.
Vyakula vingi ni bandia, mboga za majani wiki moja zinafaa kuliwa, broiler, mahindi yanayochomwa huko ni Hybrid, K-vant ndio huwabust vijana kufurahia tendo, supu ya pweza, kashata na gahawa navyo vinaumaarufu wake huko mjini.
Kuna mengi ambayo sisi wa mikoani tukija DaRiSaLaMa ni kama tupo mbuga za wanyama kutalii. Kuna huduma za jamii za kutosha
Kwakweli Dar kila kitu ni biashara hadi papuchi zinakodishwa.
Wanaume DaRiSaLaMa ni Wachache sana, tunawakaribisha mikoani au tafuteni wenyeji wa mikoa miwili au mitatu kuondokana na hiyo aibu.
Wanawake was DaR punguzeni kuvaa nguo laini za kuonyesha mnatupa taabu wanaume wa mikoani, sigara zetu haziitaji nishati kubwa ili ziwake, sisi tukiona hata mchoro wa vyupi tu tayari mnatuweka matatani.
Kama mnavaa madera basi vaeni na suruali nzito kwa ndani msisingizie joto na muache kuvaa bikini na madera misambwanda inatikisika kama hamjavaa chupi.
Jamani wanawake wa DaR mtuhurumie sisi wanaume wa mikoani tuna nishati ya kutosha na mtandao muda wote upo Full sio kama wenzetu wa DaR ambao muda wote Simu zao zinasoma Network search yaani hadi afinywe finywe ndio ashtuke ndio maana wanaweza kuwavumilia hata mkivaa kwa kutamanisha.
Mkorintho wa 6
Watoto wenu wa kiume mjue mmewazalia Dar
Nimepoa mkuu
Acha tuwaambie maana hakuna namna nyingine