Leo nimejua siri nyingine ndani ya ndoa.....

bruto nikichanganya na k vant inasaidia kidogo kwa afya?
 
Kama amefikia hatua hiyo huo wema unaojinadi nao hapa kwamba unamfanyia sidhani kama upo.

Sababu kikawaida kama mnaishi vizuri haiwezekani akakusema vibaya huko nje bana. Yaani anakusema ili iweje?

Halafu 🤔 kwa nini mkeo avae nguo imechoka?
 
Mke akianza kutoa siri za kwenye ndoa yake nje,ujue huna mke hapo,na yeye hana maadili ya ndoa,

Kutangaza maisha yenu nje sio busara,iwe anaongopa au anasema kweli,

Kama unaona maisha na mumeo hayaendi vizuri au hakutimizii,mwambie muhusika mwenyewe ambaye ni mumeo,

Ukiona hakuna mabadiliko na unaishi kwa tabu,omba talaka ukaendelee na maisha yako,ndoa sio gereza ila kumtangaza mumeo nje kwa watu wasiohusika ni kujidhalilisha tu.
 
Wake zetu sio wabaya hivi tunavyojaribu kuwapakaza,na ukiona hivi ujue kuna shida kwa wanaume pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…