Fundi mahiri wa Ujenzi
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 5,046
- 4,447
Hayo yote kama vile ndio mimi, hawa wanawake hawa tuishi nao kitaalamu sana, tena anaweza kukupondea mbele ya watesi wako au kushirikiana nao kukuangamiza.Unaweza kuishi na mwanamke kwa wema sana tena muda mwingine unajitahidi kutoa msaada wa hali na mali, ukiingia utaona anakuchekea chekea na kukuonesha tabasamu la kinafiki, lakini jamii kwa nje inakuona hivi
1. Wewe ni mwanaume katili huwa unamnyanyasa, na kumpiga kila siku.
2. Mchoyo wa chakula, unamnyima chakula, akipika chakula unakula chote pekeyako.
3. Hujawahi kumnunulia nguo yeye na mtoto, ndio maana anavaa nguo moja iliyochoka😁....na hayo ni machache tu ambayo mwanamke anaweza kukuongelea kwenye jamii bila ya wewe kufahamu...
Haya mambo yapo mkuu hasa unapooa single mother huwa hawana shukrani kabisa.Hayo mambo ndio huwa una mfanyia mkeo mkuu acha roho mbaya kwa mkeo utapigiwa
Lakini pia sisi hatua shida ya kujua migogoro ya ndoa yako kifupi jitambue sio kila kitu cha kushare unamuabisha mkea na familia yako
Wewe utakuwa bado unaishi kwa mme wa dada ako, tulia haya mambo huwa hayaitaji ushambenga.Kabisa huyu anataka kufananisha ujinga wake na wanaume wengine.
Mwanamke ambae anajitambua hawezi kusema mbele ya watu ety mume wangu ananifir***Ra
Jamaa atakuwa anahizo tabia
Yani mwanamke atangaze hana chupi hapo kuja jambo
Nilimnunulia chupi tatu zote nyeusi akaanza kusema watu watanifikiriaje kila siku navaa rangi ile ile?Mkuu fanya umnunulie mkeo hata chupi