Habari za leo wanajamvi, tunamshukuru Mungu kwa yote anayotutendea. Leo nimekuja kwenu kuuliza kuhusu hizi products zinaitwa Phyto Science products nimefuatwa na ndugu yangu mmoja akinishawishi nizinunue kwa ajili ya matumizi ya Mzee wangu ambae anashida ya kupoteza kumbukumbu.
Naomba kujuzwa kama kuna mtu ana ufahamu zaidi
Naomba kujuzwa kama kuna mtu ana ufahamu zaidi