Leo nimekuja kwenu kuuliza kuhusu hizi products zinaitwa Phyto Science products

SHIGOTTO

Senior Member
Joined
Sep 4, 2018
Posts
156
Reaction score
282
Habari za leo wanajamvi, tunamshukuru Mungu kwa yote anayotutendea. Leo nimekuja kwenu kuuliza kuhusu hizi products zinaitwa Phyto Science products nimefuatwa na ndugu yangu mmoja akinishawishi nizinunue kwa ajili ya matumizi ya Mzee wangu ambae anashida ya kupoteza kumbukumbu.
Naomba kujuzwa kama kuna mtu ana ufahamu zaidi
 
Sizijui ila hapo unapigwa,,,kama unanunua nunua kama unafanya majaribio ila sio unaenda kumponyesha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…