Leo nimekula hasara tatu; Chelsea imefungwa, likaka-poa limenifanyia fujo na nimepunjwa chenji Tabata Mangengeni

Na uliyotolewa nje kwa sababu wanajua wana chinji yako.
Nadhani hutarudi tena hapo.bongo bado sana tukija kwenye masuala ya service.ni zero kabisa.
Ni bado sana aisee. Mhudumu anarusha maneno kwa mteja kwenye eneo la biashara, kwel???!!!!!!
 
Huyo alikupunja chenchi yako kwa makusudi kwa sababu alijua kuwa hakuna m2 anayeweza kukutetea,kuna jamaa alishawahi kutaka kunifanyanyia kitu kama hicho maeneo ya Buguruni sheli,namshukur Mungu nilicheza na akili za watu wakanisaidia!
Nilitaka fanya fujo kama noma na iwe noma but jamaa wakanicool down. Ila nliogopa pia npo ugenini unajua
 
Wanaume wa dar kwa kulia lia aisee,mko vzr kwa kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…