Leo nimekula supu ya kongoro.

rusesa

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2013
Posts
538
Reaction score
234
Leo jamaa akaniambia twende sehemu tulivu kupata chochote! kwa sababu tuliekuwa nae tumepoteana kitambooo!

Leo tulivo kutana akanipeleka viwanja fulan hapa dar. kumbe sehemu hiyo si wanapika nyama ya kongoro! akaagiza kwato mbili, yakwangu na ya kwake na supu yake! heheheeee nikaamua kutest bwana maana hii kitu sijawahi jaribu!

Kumbe kongoro tamu!
 
Hakuna supu kama yake Pweza Ahh ahhh[emoji444]
Hakuna supu kama yake Pweza Ahh ahhh[emoji444]

Inaweza! Inaweza mengiii hihii, hiyeee[emoji449]

Hakuna supu kama yake Pweza Ahh ahhh[emoji450]
 
Leo jamaa akaniambia twende sehemu tulivu kupata chochote! kwa sababu tuliekuwa nae tumepoteana kitambooo!

Leo tulivo kutana akanipeleka viwanja fulan hapa dar. kumbe sehemu hiyo si wanapika nyama ya kongoro! akaagiza kwato mbili, yakwangu na ya kwake na supu yake! heheheeee nikaamua kutest bwana maana hii kitu sijawahi jaribu!

Kumbe kongoro tamu!
 
Ha ha ha a shouger hongera sana kwa kununuliwa kongoro
 
Tena mtaa ufipa Kuna mama mmoja anatengeneza kongoro zuri balaaa...Mara nyingi Huoni huwa napitaga kulilaaa

Ovaa
 
Sema umekunywa supu ya kongoro.
 
Utakuwa umegundua kutoka na kasi ya magu
Jitahidi upate mchemsho wa magosi ifikapo 2017
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…