Leo nimekumbuka namna mpenzi/ mama wa watoto wangu alipoanza kunishinda kipato baada ya kupata kazi kila kitu kikaparaganyika

Hili somo kumbe na wewe lilikupita? Ni wanawake 1/1000 ambao wakiwa na kazi wanaweza kushare vipato vyao kwa wanafamilia wote.

Hata wale unaoona wanaishi nao wanavumilia tu kama kondoo.
Yes akisha kuwa na power ni mawili either Uvumilie drama zake uwe bwege au uondoke uamue kuachana nae
 
Pole sana pambania watoto uwachukue
 
Safi Sana 😁
 
Pole Mkuu. Niliachika pia na mke, ikabidi nipakimbie Tanzania kwenda nje kupumzika kwa mda.. Maumivu ya ni mabaya sana, haya mambo hayana mgumu.. yanatesa sana akili na hisia. Kwasababu mwenye familia huwa ni mwanaume.. na ndie huwa anaumia zaidi kuliko mwanamke.. Wanawake ukiona wanaanza picha ndani ujue kuna faraja na walimu wengi nje.. huwa wanakuja kulalia kuti kavu badae sana
 
Eeeh
 
Aisee mimi jamaa yangu alimtafutia kazi mkewe tena kwa vyeti vya kufoji, basi alipoanza kupata hela zikaanza vitimbi, nyodo, dharau na umalaya juu, huku akimdharu jamaa, ndugu wa mkewe nao wakawa upande wa ndugu yao na wakamtakq ahame hapo kwa mumewe na waachane....jamaaa akamwaga mboga kwanza akatoa taraka, na akaenda kuharibu kule kazini kipindi kile seke seke la vyeti feki, bidada akaliwa kichwa.....
 
Umemzalisha Mwanamke watoto wawili, mmeachanaz bado unawaza unaumiaa?.

Ukiachikia mbali sababu zilizo nje ya Uwezo, ukiona mwanamke aliyekwisha zalishwa anakaa kutoka kwenye Ndoa, huyo ni mpumbav hana akili kabisaaaa .


Huyo wako kazaa mara mbili? Injini imeshachoka, sana sana hata aliolewa ataongeza wawili, na Huwa ngumu sana Mwanamke mwenye watoto wawili kuolewa Tena.

Akiolewa basi ujue ana Pesa kwahiyo Muoaji anakomalia Pesa, Kwa lugha ingine mwanamke ndo Anaya tunza hayo Mahusiano.

Hamjanielewa?? Ni ngumu sana Kwa mwanaume mwenye Maisha yake, keshakipata ,kuoa mwanamke alozaa Mahali watoto wawili, ni ngumu sana.

Nini hutokea anapoamua kutoolewa , atakua na Jamaa wa kumtuliza mwili, ila Ile hali ya kuona watoto wanamuona mwanaume mwingine, hata kama watoto hawajui ninan, Huwa anaumia sana , with time mwanamke huanza kurudi nyumaaa na kutamani kuishi na Baba watoto wake.


Sisi wanaume ni viumbe tuliopendwa sana sana na Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…